Thursday, March 13, 2014

CHAMA CHA MUZIKI WA INJILI TANZANIA-CHAMUITA KINAKUTAARIFU MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI KULETA TAARIFA ZAKO KWAAJILI YA KADI YA UANACHAMA

Uongozi wa Chama Cha Muziki wa injili  Tanzania unapenda kukutaarifu wewe mwimbaji wa nyimbo za injili kufika katika ofisi ya RUMAFRICA iliyopo Sinza Afrikasana Sokoni jijini Dar es Salaam ukiwa na vitu vifuatavyo kwaajili ya kitambulisho chako cha uanachama wa CHAMUITA

1. Passport size moja
2. Taarifa zako kama Jina lako kamili, Box lako, Mahali unaishi, namba ya simu, Saini yako.
3. Tshs. 5,000 kwaajili ya matengenezo ya kitambulisho chako

Kama unatoka mbali au unaishi mkoani. Pesa yako tuma kwa TIGO PESA 0715 851523 na ukishatuma tupigie simu muda huo huo ukitueleza kuwa umetuma ili tujaze taarifa zako. Kuhusu taarifa zako uanweza ku-scan picha yako na kututumia katika email hii rumatz2012@gmail.com.

Kwa uthibitisho wasiliana na hawa viongozi wa Chama Cha Musiki Tanzania

Stella Joel, Ado Novemba na John Shabani kwa simu zifuatazo:
+255 713 778778, +255 784 334630,+255 754 396 367

Kitambulisho ni kama hiki hapa. Huruhusiwi kutumia kitambulisho hiki mpaka kiwe na mhuri wetu na alama zetu za siri.



Designer: RumAfrica
+255 715 851523
www.rumafrica.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

WALIOTEMBELEA - VISITORS

BLOG designer: Rumafrica

BLOG designer: Rumafrica
Blog hii imetegenezwa na Rumafrica +255 715 851 523 | www.rumaafrica.blogspot.com | www.facebook.com/Rulea Sangaa/