Hatimaye Vitambulisho vipya vya mwaka 2016-2020 vyatolewa na ofisi ya Rumafrica na kukabidhiwa na Katibu Muenezi wa Chama Cha Muziki wa Injili Tanzania siku ya Jumanne 15.03.2016 katika ofisi za Rumafrica. Tunawashukuru sana wale wote walioweza kukamilisha taratibu zote na kufanya malipo kwa uaminifu. Mungu azidi kuwabariki sana. Vitambulisho vilivyotolewa ni kama vifuatavyo:
No comments:
Post a Comment