Picha zimetolewa na Gospel Kitaaa. Mungu aibariki team ya Gospel Kitaa kwa kazi nzuri
Ni mahafali ya 27 ya Chuo Kikuu cha Afrika (Afrika Graduate University) tokea kuanza kwake, ambapo watumishi 17 kutoka maeneo mbalimbali wametambulika na mchango wao kutambuliwa, na hatimaye kutunukiwa shahada (shahada ya kwanza, ya uzamili, na uzamivu) katika tasnia ya uenezaji wa injili.
Tukio hili la kihistoria ambalo limefanyika Jijini Arusha, limetolewa na Chuo Kikuu cha Serikali ya Sierra Leone, ambacho huangalia mchango ambao mtu amefanya kwenye jamii, tofauti na desturi ya wengi kuongea baada ya mtu kutangulia mbele.
Gospel Kitaa ilipiga kambi, na inakuletea picha za awali kama ifuatavyo.
No comments:
Post a Comment