Thursday, March 17, 2016

MCH. LUCY WILSON PETRO KUWA MC KATIKA MAHAFALI YA 27 ARUSHA

Mch. Lucy Wilson Petro mbali ya kuwa MC pia ni mwimbaji wa nyimbo za Injili na mjasiriamali malidadi sana. Mungu amempa neema ya kuwa mshonaji wa nguo nzuri sana, haikuishia hapo Mungu akampa kazi ya kufanya ya uchungaji. Siku ya leo ameweza kusafiri kuelekea Arusha katika mahafali ya 27 ya Africa Graduate University akiongoza na Stella Joel, Upendo J-Bride na viongozi mbalimbali wa CHAMUITA kutokea Dar es Salaam. Tuzidi kumuombea.

No comments:

Post a Comment

WALIOTEMBELEA - VISITORS

BLOG designer: Rumafrica

BLOG designer: Rumafrica
Blog hii imetegenezwa na Rumafrica +255 715 851 523 | www.rumaafrica.blogspot.com | www.facebook.com/Rulea Sangaa/