Kama wana CHAMUITA tuna kila sababu ya kumuombea mtumishi wa Mungu Edson Mwasabwite atakapokuwa ameshika kipaza sauti na kuanza kuimba watu wakapate kufunguliwa na kupona katika tamasha hilo la kipekee. Tunakuomba sasa tamka Neno lolote la ushindi kwa Edson. Ameni
No comments:
Post a Comment