Mwanaharakati wa Chama Cha Muziki wa Injili Tanzania, mkongwe wa nyimbo za Injili Tanzania na mcheza filamu za Kitanzania Bwana David Robert leo hii anasherekea siku yake ya kuzaliwa nje ya Tanzania. Tuzidi kumuombea mtumishi huyu katika huduma yake ya uimbaji na uigizaji kwani kuna watu wengi mioyo yao inapona kupitia huduma yake. Mungu abariki kazi ya mikono yake na pia familia yake kwa ujumla. Mungu ampe nguvu ya kushinda majaribu kuanzia siku yake hii ya kuzaliwa na kuendelea. Amina
David Robert
David Robert akionyesha keki yake
No comments:
Post a Comment