Tunatambua kipaji ambacho Mungu amempa Tumaini Njole cha uimbaji. Kama WanaCHAMUITA tuna kila sababu ya kutambua kipaji hicho ambacho kimewafanya waandaji wa MEGA MKATE kumualika ili akaweze kuwabariki watu watakaofika katika tamasha hilo la kipekee. Tamka Neno kwaajili ya Tumaini ili Mungu amsaidie siku hiyo awepo. Amina
No comments:
Post a Comment